HOME

Ujumbe wa Malaika watatu ni blog ambayo inaamini katika maandiko ya Ellen White Pamoja na waasisi wote wa kanisa la waadventista wasabato. Lengo la Blog hii ni kutoa kweli za Biblia ikiwamo pia na kutoa kweli katika maandiko mbalimbali ya kihistoria yanayohusiana na ukristo tokea Yesu arudi kwa Baba. Blogu hii Inawalenga hasa wale ambao wanajua maandiko ya roho ya unabii kupitia Ellen White kwa maana inaweza ikawa ngumu kidogo kwa yoyote ambaye hamfahamu Ellen White au maandiko yake kuweza kuelewa baadhi ya mambo yanayozungumziwa katika blogu hii. Tupo katika nyakati za mwisho wa historia ya ulimwengu. Mungu anataka watu wake wajue Kweli zake na sio kujua tu, bali kuzishikilia hizo kweli ili waweze kutakaswa na hiyo kweli. Nyakati tulizopo ni nyakati za Hatari Yesu anakaribia kurudi tena. Anakuja kuchukua watu wake ambao wameokolewa kwa damu yake. Ni jukumu la kila mmoja kukubali kweli za Kristo ili Kristo aweze kutuweka Huru kupitia ile Kweli. Karibu tujifunze wote.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA ALAMA YA MSALABA

MUNGU ANA NAFSI NGAPI?

1YOHANA 5:8 NA MATHAYO 28:19 ZINASEMAJE?